Rhumba ya Jirani.

It's 11:18, I'm yet to sleep. Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa. But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices, Chini ya maji, si ni machizi Twachunguzana kipolisi And your body is a movie And I hope you feel the same But you're insecure (eeeeeh) Oh my you're insecure (aaaaaah) Oh my you're insecure (eeeeeh) And I'm insecure (aaaaaah) Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it! Si nivuke kwa jirani? Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa...