Waswa

Image
 In my days of service I had this friend called Waswa. He was way older than me, like 3 years older but tulikua tume enlist na yeye and we found ourselves sharing a barrack cube. Tulikua 4 in 1 cube. One night while we were off duty, he told me why he joined the military. Waswa was in JKUAT, Juja campus, and he was having some sort of entanglement with his schoolmate, a pretty petite lass called Syombua.  Our boy Waswa was the one visiting her because he was in a shared hostel. Waswa’s pretty lass, Syombua, lived in Weiteithie, in a well furnished apartment. Their relationship was like 3 or 4 months old but Waswa had received all sorts of treatment. From slices to the other slices, I know you know, and if you don't, jokes on you.  Kijana in his mind assumed that the lady came from a seriously loaded family. Makosaa. Sasa one Friday Waswa as usual goes for a sleepover knowing atakula vizuri pande zote. They enjoy the night and netflix as usual until they heard, “Fungua hap...

Wasee wametulia


Nilikuwa place hustle, kutafuta shillingi nisiiname lunch ka comrades, ama kuwa homeless ju mwenye nyumba ameweka kufuli ingine kubwa ka sex drive ya dame yuko twenty something. 

Ilikuwa story zinatembea tu, bila pressure tukiendelea na job yetu, masaa ikisonga mbele tu. Sikumbuki ni part gani exactly kwa hio story ilifanya ni remark,

“Kama kuna watu nimetense,”

“ni wasee wao hukuwa wametulia tu.”


They were like, 


Souley wacha kutubeba utoto.

Mbona uogope mtu hana makelele ama kisirani?


Niliwaelewa wakifikiria na kuuliza hivyo. Nikawachapia incidences kadhaa zenye wasee hawana mambo mingi wamesurprise wasee vi ajab. 

Wasione ni ka nawasho story haziko, ka excuses za ule manzi uko nayo akitwekwa na salaried niggas mshahara ya end month wakiwa nayo.

Kuna this time, tuko lap mtaa ya Boyz wetu fulani. Wasee fulani wakaamua ni sisi watatutumia kuchase the bag. Kutuibia in layman’s terms. Wamekuja wanatugotea then wako zile za 

hizo phone na dooh tuko nazo tuwawahi. 

Tukawaignore tukasonga mbele na ziara yetu. Hao wasee kuona hatuna masaa yao, si hasira zao zikachemka wakaskuma arif ndio vita ianze.



Arif alibackstep tu, akavuta kofi ingine strong ka finishing ya Eliud Kipchoge kwa mmoja ya hao wasee walimskuma, ikawacha imprint ya mkono yake. Huyo msee akakuwa unconscious na kuanguka puuf! ka bei ya simiti. 

Wasee kuona venye kumegeuka kwa mwenzao wakajipea shughuli mbio na sisi tukaendelea kuchapa lap as if nothing happened.

Mimi naye nilikuwa zile , is this guy really human? ka venye keeper wa Copenhagen alikuwa ana wonder out loud kwa Jack Grealish akirefer to Haaland. 

As if kushow chenye nawasho si story za jaba, I came across this story of this guy, American, who seduces you, fucks you, kills and eats you. 

Naweza sema he’s another version of Onyancha.

The only twist to this is that, one, he is gay like that dude from Sauti Sol, what’s his name, Chimano.  Two, he prepares his victim’s flesh, doesn’t eat it raw like Onyancha. Ana marinate hio nyama nakuambia ka venye madem wenyu wana marinatiwa Loft. Anaiprepare like some high quality chef.


I kid you not, seeing this guy you could bet your soul, your lung, liver and any precious thing you have, he can’t kill a chicken let alone a human. Hapa huwezi ukaniconvince otherwise, watu wametulia, mimi huwaonea 18, nikiwa rada yao mbaya.



Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2