Miss Anonymous 2

 Continued from here-->> Miss Anonymous





Ju ya kuwa street smart kiasi tu, niliweza kutoka kuwa mgeni wa serikali bila kesi kuwa ngori. Vile natoka though, weeeh! Nanuka, niko mchafu, usingizi, kitu nataka ni kufika tu kejani nioge, nipite kwa mathe nikule, nilale. Nafika hivi ploti, watoto wa jirani wakinicheki wanahepa tu wakilia, kwani nakaa mnyama nini? Wamama wa ploti, najua wameshapata story mpya na mimi, but haidhuru, watabonga kisha watalala.

Venye nimeshiba, napiga shower nitoe stench na misuli inyooke kidogo kisha nalala. Nastukia mlango inabishwa, kuangalia saa ni saa kumi na moja jioni. Weeh, nimelala kama maiti za pale Chiromo.😅 Kumbe ni arif yangu Timo, na venye nilikuwa nimejitayarisha na maneno nikidhani ni landlord. 😅😅 Namfungulia mlango aingie, but anaingia akiniuliza nimepotelea wapi, ati amekuwa akinitafuta siku kadhaa. 

Nikienda kuona venye nitamjibu, ghafla bin vuu, simu inalia. Kuenda kucheki ni nani anapiga, nastukia ni ule Miss Anonymous. Na pick call nimsikize anasema vipi. Timo kucheki caller ID, yuko zile za ndio maana ulikuwa umepotea, ulikuwa umeenda camping kwa mamaa nini?

Najiexcuse tu kiasi niongee na Miss Anonymous na simu. Mtoto wa mtu after salamu ananianzishia maswali manze. Ati ooh nilitoka lini, na feel aje, nimekula, na stay wapi na kama anaweza kuja. Nikamsho nimetoka jana, nikamchapia directions na akam na kitu ya kukula. Venye alisema sawa, anakuja after 15 mins hivi, nikarudi kejani tukaanza story na Timo. Story zikashika, kazi tu ni kucheka ka watu punguani. Venye simu ililia, akanichapia yuko kwa gate ndio nikakumbuka hayaa, someone’s daughter alikuwa akuje.

Nachapia Timo kuna mgeni anakam hio time tutachapiana baadaye. Tukashuka stairs kuenda kwa gate, mimi kufungulia Timo avuke mashughuli zingine, na Miss Anonymous apande kwangu. Venye eye contact amenicheki nayo ndio anipee hug si fiti, namuuliza venye tumeingia kejani mbona amenipiga hio look. Anajaribu kukanyangia story but niko adamant, inabidi amenichapia kwanza tukule, atanichapia. 

Miss Anonymous naye kwa hio sector ya chakula alikuwa chef kabisa. After kumcompliment venye food yake ilikuwa imeweza, nikamuuliza kuhusu venye aliniangalia after nimemfungulia gate. Akasema alikuwa anadhani ameingia kwa experience fulani alikuwa nayo. Venye nilimuuliza gani, akaanza kunichapia.

“Kuna jamaa who had been my friend, akanza kunikatia katia.”

“He was always close with this one male friend, but sikumind coz it’s normal kuwa na beshte.” 

“Before I knew it, they had moved in and started living together.”

“After kujua venye nilimuuliza, he claimed that it was only for a while then huyo boy atahama.”

“What was surprising is that we could only meet mchana and that hakuwahi ask for sex. ”

“Silly me, I thought that was cool.”

🤭

“Long story short, ”

“there was this day we were to meet, I called him but he wasn’t picking. 

“I thought maybe I should just go to his place, drop whatever I was to drop, then leave.”

“Kufika kwake, the door was locked from the inside.”

“I could hear voices of people moaning in pleasure, but to my shock it was only men’s voices I could hear.”

“Ningejua ningeleft tu bila kupeep because I wish I could un see what I saw to this day.”

🤮

Nikamuuliza ni nini aliona ilimfanya akuwe disgusted hivyo. Hapa ndio illustrations zilianza akinichapia Dame aka arch her ass venye aliona huyo jamaa alikuwa anamkatia was being screwed from behind by the so called roommate venye alikuwa ame arch. 🤮 Huyo jamaa  wake anakuwa pounded hadi anashake kama msee yuko na epilepsy huku jamaa anakuwa spanked. Sema self esteem ya Miss Anonymous kuenda zero real quick, alafu akaondoka akilia, huku haamini nini macho yake yameona. Anaona ni kama yuko ndani ya movie ya kihindi ama anaota.


Comments

Popular posts from this blog

Baddies in maandamano

Shukisha!

DUF MPARARO.