Mapenz 2

For the previous story, click here. Mapenz 1 Cleaned up real nice, wacha tu! Ungeniona ningekukunywa like those thirsty people kwa Ads za Sprite, au kama vampire, wenye sisi huona kwa movies, that is if, wewe ni dame. Nikapiga perfume yangu vizuri, when you smell nice, confidence hukuwa mia kwa mia. Mimi huyo, najisikia, ego iko overflowing, naenda hadi stage, nipande mat, niingie tao. Nikiwa kwa njia naona venye siku itakuwa tu vibes on vibes with someone's daughter. On the previous day, tulikuwa tume elewana tunapatana saa nne. Nilikuwa hapo by 9, hapo I&M towers. An understocked tuskys, not far away from my position, nikapatana na madam anauza maua akasema “si ushukurie mpens hisi mauwa, atazipenda” Nikasema why not? Mimi bazenga niko hapo na maua waiting for the princess Hadija. So ikafika 10 nikasema wacha ningoje kidogo, 11 ikafika nikiwa nimesimama hapo kama mti, najiconsole tu, anakuja, ni jam imemchelewisha. Hapo naona most ...