Kamagera

Image
              In my existence, I have noticed some people are eating life with a big spoon, others like me, life is eating us with big spoons (read spade).  Not so many moons ago I was in a very bad fix, big brain, alot of skills but no paper evidence to match the skill so the people with money think you are a con. Anyway, I had a friend who was a donda (read conductor), I know he makes over 1500 daily because one day he told me, I asked him to link me up to one of the manyangas and he told me, “Si rahisi ni kulink  mimi stakudanganya kama wale uncle wa nyumbani  ati maliza shule nitakueka mahali.”  So he told me about kamagera ( a person who just loads people in a Matatu , and remains.) and their rowdiness. That their survival in nairobi is to be likened to the silverback against 100 men. No mercy. Nikamuuliza, because I want a fishing rod, not the fish itself so as to fend for myself.  So akaniambia you just go to any st...

Moni

Wiki ilikuwa imenitoa mbio mbaya aje, ungedhani design ya hawker na kanjo wa Jiji. Venye ililand Friday jioni, nikajua baaas, naweza pumua kidogo. Nikaingia kwa hao, nikachamgamkia ka shower pale, niskie very nice, clean and fresh.

Alafu kutayarisha kitu ya kula pale ju tumbo ilikuwa inaguruma ka lorry ya FH, ikipanda mlima ikiwa imejaa mchanga. Food ikaiva tu hivi na nikajiserve. Design storyteller wenu yuko very clean na ameng’ara, alafu yuko tayari kuchangamkia plate ya food, ogopa. Hii ndio time huwa hautaki wageni kabsaa but hii life bana, no balance, time hautaki kitu ndio inakuja full force.

Kabla hata sijauma kijiko hata moja ya food nikasikia knock kwa mlango. Najaribu kuona ka ni next door, but venye knock naisikia haiwezi kuwa kwa neiba. Najaribu kukumbuka ka niliset appointment ya playoffs yeyote leo, naona pia zii.

Nikataka kulenga kufungua kabsaa. Design najikaza kuoneshana siko, usitake jua but knocking ikakuwa persistent sana hadi imeanza kuniudhi. Najiuliza tu kimoyomoyo,

“kwani mwenye anaknock hachoki..?”

Venye niliona mwenye anaknock ame persist nikajam nikaamua wacha nifungue nipeane maneno kadhaa na ikiweza pia ngoto zitembee. 



Nafungua tu hivi mlango, narukiwa na hug ingine moto ka jua yenye hukuwa January, na Moni. Nashangaa kwani, huyu dem amebadilika kidogo akaamua kupenda rungu na kuwachia kulamba ikuwe kwa glucose tu? 

After hug, venye aliinama kutoa hizo viatu zake, ndio weeeh wild thoughts zikaanza kuflow in. Mimi si engineer lakini, venye nilikuwa nafikiria na kuvisualize venye nitamweka kwa angle gani nikimnyorosha vilivyo.

πŸ˜‚πŸ˜‚

Akanotice nikamsho

“Leo nitakukunja under the covers hadi urudi kuwa straight.”

“utanyooka sawa sawa.”

Akacheka tu, then akaingia

“Souley kunanukia vizuri huku..,”

“kwani umepika nini leo?”


Comments

  1. Na hivyo ndio food ilienda🀣🀣🀣

    ReplyDelete
  2. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Buda you are having sex na hii economy? Musbenais

    ReplyDelete
  3. I love your piece of art thanks na mtu afai kuwa mchoyo hivo

    ReplyDelete
  4. Lakini uoge then ndio ukule weh hiyo ni new mimi huchangamkia kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯°πŸ₯°

    ReplyDelete
  5. hio kiroma ulikua umeeka avocado πŸ˜‚πŸ˜‚

    ReplyDelete
  6. We Mzee uzoee kuweka stori yote😏

    ReplyDelete
  7. Wueh..sema suspense. Don't tell me the meal came to eat! Hahaha!

    ReplyDelete
  8. Wee mzee maliza story

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2