Take me back 2

Image
Continued from   Take me back              Just like that, my brain replays that crazy and wild night, back then before love ilinionesha shege kweli  kweli, nilikuwa na my then gal (Some how I'd forgotten all about her) , my Boyz and their women at a a certain club along Kiambu road, sikumbuki ni gani.  A couple of guys clearly drunk had bumped into my gal and her group while she was coming from the washrooms accompanied by her group (my Boyz women's). ( To this very day, I have never grasped why women go to the washrooms in groups),  After being told to watch where they are going by my gal, this guys, instead of apologizing, they became arrogant. They started raining vulgar insults on my gal and her group (my Boyz women's).  Mimi niko somewhere just sipping my drinks while observing the fruckus. I locked eyes with my gal at some point during my observation, saw all the balancing tears that were threatening to spill from her ey...

Back to the basics.



Nimeona picture kwa meme fulani, ikanipeleka tour down memory lane. Many moons ago, nikiwa primary. Nikitaja ilikuwa how many years ago, mtaniona ka mmoja wa wale wahenga mlikuwa mnaandika kwa kwa insha, ati, wahenga hawakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliponena...
😅😅😅
Kulikuwa na hii stuff ilikuwa primary, ndio ukuwe unaongea kizungu, ulikuwa unakuwa punished psychologically ukiongea na mother tongue, kiswahili or the language of the streets, sheng. Except siku moja yenye mngekuwa exempted kuongea whichever language you fancy. Mental punishment depended on which time era you were in. For yours truly, ilikuwa kuvaa bling bling ya mfupa ingine kubwa.
Yours truly, hajaanza kupiga story sahii, like B.I.G. nilikuwa notorious but upande wa kuongea. Hakuna siku nikiwahi kosa kwa list ya noisemakers, na siku sikuwa nimeongea labda nilikuwa mgonjwa. Most people walikuwa wana detest kuvaa hio bling bling, ju ya aibu ilikuwa associated with it, so msee alikuwa anakuwekea mtego, uongee tu language si kilami, pap! Transfer of ownership ya hio bling bling ya mfupa.
😅😅😅

Kuna story haziwezi slap na kizungu, hata ujaribu aje, itatokea bland, boring and forced. Mimi huyo,  aibu sijui nilikuwa nimetokwa na hawa wakora wa Jiji, ju sikuwa na aibu at all. Nilikuwa navaa hio bling bling ya mfupa na pride, kama ni a medal of honor.
Kuna siku nimeivaa back to back, week in, week out. Mimi nikivaa bling bling yangu ya mfupa back to back bila kutetemeka, kumbe kuna mwalimu alininotice. Sijui ni kama alikuwa anataka kufanya nianze kusikia aibu ama nini, akaniita mbele kwa assembly. Ilikuwa on a Friday morning nakumbuka.
Mimi kuitwa mbele ya shule mzima niendee mbele nijionyeshe. Mimi natembea na kiburi iko 💯 ka fan wa Manchester. Akaanza speech venye nikifika huko mbele 
“ati ooh venye mimi ni a notorious kiswahili speaker.”
Na propaganda zingine mingi mingi. The students and the teachers wana whisper hapa na pale. Anapinduka ananiangalia anacheki kijana sugu, haibiki, akaanza zile za 

“kijana unajua.., 
hutajua kizungu ukiendelea kuongea kiswahili?”
Nilipumua kwanza, deep breath kiasi kiasi nikajua baas, it's about to go down. Nilimwambia mwalimu nikiwa tu nimetulia,

“Naweza ongea kiswahili hadi nimalize primary,
 na bado,
nitakuwa na kizungu fiti kukushinda.”

Kitu sikuwa time anticipate ni the aftermath ya hio statement. Wacha shule yote ianze kucheka ka wendawazimu ama fisi, wacha huyu mwalimu alikuwa anataka kuniaibisha, hio maneno imgeukie. Niliona tu ameanza kufura na hasira na aibu ka balloon inapulizwa. Kitu nakumbuka ni deputy akiniambia 

“let's meet at my office after the assembly.”

Nikajua kamenuka.

Comments

  1. Creativity 😂

    ReplyDelete
  2. Weh mbona kuna wale waalimu hupenda tu kukuabisha hata kama hakuna kitu umefanya, already nikaa tuko colonized tukiongea kizungu nakumbuka kulikuwa na staff inaitwa disk ukiongea tu Swahili unapewa ubebe kwa shingo mpaka hata nilidhani tuko colonized times

    ReplyDelete
  3. Nakumbuka kulikuwa na staff inaitwa disk ukiongea tu Swahili unapewa ubebe kwa shingo mpaka hata nilidhani tuko colonized times

    ReplyDelete
  4. Nakumbuka kulikuwa na staff inaitwa disk ukiongea tu Swahili unapewa ubebe kwa shingo mpaka hata nilidhani tuko colonized times

    ReplyDelete
  5. Kulikuwa na staff inaitwa disk ukiongea tu Swahili unapewa ubebe kwa shingo mpaka hata nilidhani tuko colonized times

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Miss Anonymous 2