Cloud 9 , what's next?


Then she melted into the crowd. She took a while then nikacheki kuna dame yuko solo kwa corner nikasema nifike hivyo nimpee company. Huyo dame alinisho anaitwa Alicia. 

Kuendelea kubonga nikarealize kumbe alikuwa anaogopa. Alikuwa ametag along na friend yake ndio asiboeke kwa hao akiwa pekee yake. 

Nikamweka at ease na convo ingine fiti sana akanijenga no incase tupoteanwe tutafutana then we talked some more then Steph akatokea. 

Akacheka then akaniita nimfuate. Madem na wivu bana 

πŸ˜‚πŸ˜‚ 

Steph aliona ana compe.. Mimi huyo nikidhani Steph amepata plug wa sth sth iko na sweet aroma tufike cloud nine nayo. 

Kufika to some secluded place anatoa some pills. Kumuuliza ni nini ananichapia ati molly. Akaextend mkono anipitishie nikakataa.

“Shauri yako” 

akasema then akameza.After a while niliona ameanza kuwa handsy..

“Huyu anataka ku unleash the beast” 

Nilijiuliza kimoyomoyo.Kiasi kiasi nacheki mjamaa akikam ile corner tulikuwa. Nikajua baaas.. Huyu ni ka alikuwa ameshoot shot but ikashikwa ki Ramsdale haikuingia. Alafu yuko zile za

“Yoh bro..,”

“naweza chapiana na wewe kiasi,” 

“kuna ngori..”

Kuna venye nilisoma situation nikaona wacha nimsikizie inaweza kuwa kitu serious. Venye alinichapia ilibidi nimecheka kwanza. 

Badala ya molly, huyo pedi alipea Steph viagra. Nikaona hapa tunaweza fanya vituko tujipate Telegram na Twitter.

Sasa nikufikiria venye tutatoka na means itakuwa gani. Nikatoka nje na yeye ju nikimwacha ndani ninja ingine itaruka ka super sub. 

Nikijaribu kuvutia msee wangu wa nduthi, nikacheki Alicia anakuja my way. Akaniuliza what’s up nikamchapia tunataka kuvuka mtaa. 

Alicia akasema pia yeye anataka kuishia atatudrop place tunaishia.

Dame kumbe alikuja na Audi.. weeeh gari si ilikuwa na shoe game ingine imetii. Tukaingia backseat na yeye mbele akapiga ignition tukajitoa. 

Nilichapia Alicia directions za place na stay. Pale backseat kumbe ile viagra ndio imeanza kushika. Kidogo kidogo dame akakuwa ka eve pale kwa garden of Eden before akule matunda.

Nikaona nikama alikuwa anapenda Tom kwa Tom & Jerry ju design alikuwa ana stroke hio paka weeeh ogopa 

πŸ˜‚πŸ˜‚ 

Akaona bado, akaniangalia na look ingine, nikajua mimi kwisha. Akafungua rungu ikatoka, ikavalishwa wrapper, ikakuwa ku bounce up and down ka ukiwa rough road na gari ikiwa na shocks zimeisha.

Alicia alikuwa anarusha glances za nyuma ananicheki ka Johnny Sinns. Tulifika finally kwangu. Alicia akataka kuishia nikamsho streets si safe. 

Nitamhost, alafu daylight ikiingia anaweza rudi kwake. Nikashughulikia Steph vi proper hadi akazima. 

Morning kuamka napata kumbe Alicia aliingia kwa kitanda ki sniper. Kungekuwa na aerial shot, ingekaa kama ki hot dog. Anaamka asubuhi ananisho ati kiti ilikuwa uncomfortable.. 

πŸ˜‚πŸ˜‚

Felt good waking up sandwiched between two beautiful gals. I know y’all are all craving to hear if there was some extra time. 

πŸ˜‚πŸ˜‚ 

Got up did a couple of sit ups, took a shower then nikachill kwa sofa nikitaka kuendelea na movie nilikuwa nataka kuona jana before nikuwe interrupted.

After a while Alicia woke up then greeted me with a smile. Nikamcheki akihead into the washroom to freshen up.  Kiasi kiasi, nimesikia shower  imeanza kurun. Movie imeanza kunishika then nikasikia nimeitwa na Alicia.

Mimi naamka kwa sofa hivi.
πŸ˜‚πŸ˜‚


Na pause movie, alafu nikamuuliza,

“Yoh Alicia,”

“Unataka nikujoin kwa shower nini?”

Akacheka nikajua alaa kumbe ile saying ya ask and it shall be given unto you haikuwangi chocha. Akaniita tena,

“Souley, ”

“uko na towel extra, ”

“unisaidie..?”


Mimi huyo nikampatia shuka ya masai mimi na someone’s daughter hutumia kwa naughty activities pale events.

Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Baddies in maandamano

Shukisha!

DUF MPARARO.