Posts

Showing posts from July, 2026

Sina...

Image
Imekuwa long tangu nichonge story ka venye Michelangelo alikuwa anachonga vitu clean many centuries ago. Story ilikuwa iende live but draft ilikuwa kwa simu, na simu ilizama kwa maji ka Petero venye alijishuku ati ni yeye anatembea kwa maji. Fundi naye kumpelekea simu akakuwa kama ule jamaa wa promises bandia za in “6 months”. Fundi amekaa nayo almost three weeks, ananichocha daily ati anaunda, kumbe anani-enjoy tu, simu imemlemea na hataki kunichapia.  Kuishi bila simu blunder, unasikia ni uko kwa kichaka ama ka wewe ni inmate. Nimefikiria venye shillingi itatoka nishike device ingine; itatoka ju fundi alishindwa kufufua simu hadi akili imetap out. Nikiscroll scroll YouTube nikiwa nimetulia after nimetoka kuchapiana na Boyz wangu Kimani ma one two one two, nimebump into this song called Wasted Story by Virusi Mbaya, sijui ni kama ni coincidence ama nini,  but nimerelate nayo mbaya sana na kuna part moja imepenya  “…Saka kila siku it's not enough..” “...Ma...

Hey baby...

Image
Guys…. Eeei! Niko na furaha, na si ati pesa ni nyingi, mnaweza nunulia your favorite storyteller kahawa, if y'all don't mind, jameni baridi mingi. Anyway, where was I? Yes. Eeei! Sijawahi jua the joy of discovering a new song by accident (si ile by accident ingine ya excuse ya your cheating partner akijitetea akipatwa), hukuwa amazing hivi. Leo, start of the week, nimeamkia mjengo kusaka Singaporean shillings ya kufanya one two, foreman akasema leo, nijaribu another week, siko kwa hesabu ya hio wiki, nirudi nilale, nikasikia tu ki sadness ingine kwa chest ime descend. Nikajiambia haidhuru, nikaleft site, nikachapa lap kiasi mtaani, then nikarudi kejani, nione kama nitafinya finya kompyuta dollar itoke. Kufika kejani, nikasema before niingie shughuli, wacha niingie YouTube, niweke background music kiasi to vibe with. Music plays for sometime, akili hata haiko hapo, it's just like filling the noise at the time(you know how our folks used to put news on, and they aren't ev...