100+

Leo nimefurahi ajab, one, nimepata email fulani ikanifurahisha mbaya, two, would you believe 100 stories zimedrop on Letstoriesunfold? Nikasema wacha niwaangushie something awesome kama kawaida ju mmekuwa mkifurahia from the very first story ilidrop. I know after this drops, one of the two will be happening. Either, nitakuwa najificha ma fans wa Manchester ama Chelsea kunilemea na banters, ama ma fans wa Manchester na Chelsea watakuwa wanajificha ju ya kiburi venye itakuwa elevated ju ya matokeo. Nilikuwa nachill tu nikisikiliza Ngoma fulani ya Khaligraph na Nyashinski inaitwa Risk, nikakumbuka kuna someone nilikuwa namtuliza ju kuna pahali aliwekelea pesa, hio organization ikasema iwekelee pesa ya watu Red Bull, pesa za watu ikapata wings ikapepea fwaaa! Hapo someone's mind ilikuwa inachemka kuchemka ka engine ya Passo, ikiwa imekimbizwa siku mzima, alikuwa haamini what the heck just went down. Nimetoka to take a walk, as I figure out what I ...
Vile inafaa
ReplyDeletePlease don't stop writing.This is dope
ReplyDeleteDope stuff g
ReplyDeleteDope stuff g
ReplyDelete