Rhumba ya Jirani.

Image
  It's 11:18, I'm yet to sleep.  Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa.  But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices,  Chini ya maji, si ni machizi Twachunguzana kipolisi And your body is a movie And I hope you feel the same But you're insecure (eeeeeh) Oh my you're insecure (aaaaaah) Oh my you're insecure (eeeeeh) And I'm insecure (aaaaaah) Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it!  Si nivuke kwa jirani?  Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa...

100+

       Leo nimefurahi ajab, one, nimepata email fulani ikanifurahisha mbaya, two, would you believe 100 stories zimedrop on Letstoriesunfold? Nikasema wacha niwaangushie something awesome kama kawaida ju mmekuwa mkifurahia from the very first story ilidrop. 



I know after this drops, one of the two will be happening. Either, nitakuwa najificha ma fans wa Manchester ama Chelsea kunilemea na banters, ama ma fans wa Manchester na Chelsea watakuwa wanajificha ju ya kiburi venye itakuwa elevated ju ya matokeo. 


Nilikuwa nachill tu nikisikiliza Ngoma fulani ya Khaligraph na Nyashinski inaitwa Risk, nikakumbuka kuna someone nilikuwa namtuliza ju kuna pahali aliwekelea pesa, hio organization ikasema iwekelee pesa ya watu Red Bull, pesa za watu ikapata wings ikapepea fwaaa!


Hapo someone's mind ilikuwa inachemka kuchemka ka engine ya Passo, ikiwa imekimbizwa siku mzima, alikuwa haamini what the heck just went down. Nimetoka to take a walk, as I figure out what I am going to cook. Nikiwa natembea kiasi naona a crowd of people up ahead. 


Alafu nduthi mingi zimeparkiwa on the side of the road. Nikajiambia labda ni mtu wa personal car ameguzana na mtu wa nduthi ndio wanaletana juu. I wanted to continue on my way, but I noticed something, ni vipi nduthi za mtaa yote zilikuwa zime gather hapo? 


So curiosity got the better of me, and I was like aaah, let me take a look, see what's going on. I was extra cautious though, I know in those scenarios, they're some people who decide to be fishermen, not of fish or other aquatic creatures that are edible but of things of men, and women.


Mimi kuangalia kumbe ni wanaume wawili wa nduthi wanamenyana, wameamua kupeana heshima using their fists, wanalimana kweli kweli ni kama shamba Transzoia inatayarishwa kupanda mahindi na ngano. 


Funny thing is that the crowd was just there watching, giving the two fighting men some space and it reminded me of an incident where a friend of mine tried to stop a fight, and a fist massaged his jaw with so much love, that he blacked out immediately.


Ever since that day, I have never attempted to separate two fighting parties. I pulled out of the crowd, went on my way after confirming no one had tried lifting anything from my pockets. When I got back, I figured on what I was going to cook and eat. 


As I was waiting for the food to cool, I decided to scroll on social media, then I decided to see if there's something fruitful that has been sent to my email, and that's when I found the particular email that made me smile and be happy like someone's daughter whose love of meat is something else.

Comments

  1. So, tell us more about the email and secondly, achana na Chelsea kabisa!

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2