What if?

Image
        The day before writing this, I had a bad day. Wacha ni rewind kidogo, before I had the bad day, nilikuwa najiwaza nikijiuliza ni wapi nitatoa pesa ya kufanya ma one two three. Kiasi kiasi, around 3 or 4 hapo, in the afternoon, naona simu ikilia. In case you didn't know, zile times uko in the pits of hell, in the dark, struggling to find the way out, ndio simu huwa hailii kabsaa.  I won't lie, simu venye ililia ilinistua kidogo, ju sikuwa na expect any call from anyone, moreso at that time. Ilikuwa a new number, sijawahi lenga kuchukua new number ju huwezi jua who might be trying to reach you with a strangers phone, inaweza kuwa opportunity, inaweza kuwa fahm or Boyz wako yuko kwa ngori, you never know.  Venye nilichukua, nilikuwa nadhani ni vijana wa mulot wamepiga kunijaribu Imani, but I held my tongue, and waited for the person on the other end to speak. “Hello,  naongea na fulani?” I was there wondering huyu ni nani ananijua na simjui, na hi...

Mapenz 2

For the previous story, 

click here.

Mapenz 1

 

Cleaned up real nice, 

wacha tu! 

Ungeniona ningekukunywa like those thirsty people kwa Ads za Sprite, au kama vampire, wenye sisi huona kwa movies, that is if, wewe ni dame. 



Nikapiga perfume yangu vizuri, when you smell nice, confidence hukuwa mia kwa mia. Mimi huyo, najisikia, ego iko overflowing, naenda hadi stage, nipande mat, niingie tao. 


Nikiwa kwa njia naona venye siku itakuwa tu vibes on vibes with someone's daughter. On the previous day, tulikuwa tume elewana tunapatana saa nne. Nilikuwa hapo by 9, hapo I&M towers. An understocked tuskys, not far away from my position, nikapatana na madam anauza maua akasema 


“si ushukurie mpens hisi mauwa, 

atazipenda”


Nikasema why not? Mimi bazenga niko hapo na maua waiting for the princess Hadija. So ikafika 10 nikasema wacha ningoje kidogo, 11 ikafika nikiwa nimesimama hapo kama mti, najiconsole tu, anakuja, ni jam imemchelewisha. Hapo naona most people wanapita wakiwa two by two kama enzi za Noah time ya kupanda Ark, nashangaa kwani Hadija wangu yuko wapi. 


12 kufika, huyo madam wa maua akauliza kama niko sure anakuja. For a whole 3 hours patiently waiting for her, I was hopeful she would show up. But after that question my heart sank. 


Enyewe words have power. 


From 12 to 1pm, it felt like 3 hrs wasee. It had now dawned on me that my hand was the water less a vase for the flowers. Nikaanza safari ya kurudi kwangu, jua ilikuwa imewaka kuwaka inakaa orange, but venye nilikuwa nasikia, wacha tu. The cold chill down my spine, ilikuwa inafanya natetemeka tu. 


If Uber was there, 

hiyo siku singepanda mat. 


Ladies and gentlemen that was the making of a monster. Hadijah mahali uko shindweee. These moments are those that break a man into unrepairable versions of themselves. Thank God for phones, smart phones in particular. Nikifiria what people do for and when they are in love, naskia kucheka. 


Jamani nimeteseka hii Nairobi. Wacha nimalizie hapo, naskia ni kama machos itatoka yenyewe, at anytime. 

Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Baddies in maandamano

Liar!

Aligongewa na si mlango.