Mapenzi crazy!

Image
By the way, nishawahi pendwa na wazimu wasee . Not toxic like how some of your partners in some of your relationships are, just somebody's daughter who was mentally ill. Tulieni niwapee story how it all went down. I was coming from Murang'a , nilikuwa nimetoka huko kupiga shughuli mbili tatu, as you know kwa gari kuna wale watu hubebwa mid journey, so sisi hao, tuko Kenol , gari imesimama watu kadhaa wakashuka, conductor yuko nje anaita watu wengine waiingie kwa gari to fill the empty seats.  I have my awesome earphones on, nasikia kuna fracas outside but I mind my shit so I ignore it, ju the last time niliona mtu ameleta kiherehere kwa shughuli haikuwa yake, alistukia amepigwa Kofi , mate ikatoka na curve kama shot ya Messi in his prime. Suddenly, I look up, and a fine gal catches the edge of my sight, eye contact kiasi between me and her and she smiles.  Damn a fine gal like this one? Thank you God! I remove my earphones so I can see her well. I songa songa as she comes an...

Mapenz 2

For the previous story, 

click here.

Mapenz 1

 

Cleaned up real nice, 

wacha tu! 

Ungeniona ningekukunywa like those thirsty people kwa Ads za Sprite, au kama vampire, wenye sisi huona kwa movies, that is if, wewe ni dame. 



Nikapiga perfume yangu vizuri, when you smell nice, confidence hukuwa mia kwa mia. Mimi huyo, najisikia, ego iko overflowing, naenda hadi stage, nipande mat, niingie tao. 


Nikiwa kwa njia naona venye siku itakuwa tu vibes on vibes with someone's daughter. On the previous day, tulikuwa tume elewana tunapatana saa nne. Nilikuwa hapo by 9, hapo I&M towers. An understocked tuskys, not far away from my position, nikapatana na madam anauza maua akasema 


“si ushukurie mpens hisi mauwa, 

atazipenda”


Nikasema why not? Mimi bazenga niko hapo na maua waiting for the princess Hadija. So ikafika 10 nikasema wacha ningoje kidogo, 11 ikafika nikiwa nimesimama hapo kama mti, najiconsole tu, anakuja, ni jam imemchelewisha. Hapo naona most people wanapita wakiwa two by two kama enzi za Noah time ya kupanda Ark, nashangaa kwani Hadija wangu yuko wapi. 


12 kufika, huyo madam wa maua akauliza kama niko sure anakuja. For a whole 3 hours patiently waiting for her, I was hopeful she would show up. But after that question my heart sank. 


Enyewe words have power. 


From 12 to 1pm, it felt like 3 hrs wasee. It had now dawned on me that my hand was the water less a vase for the flowers. Nikaanza safari ya kurudi kwangu, jua ilikuwa imewaka kuwaka inakaa orange, but venye nilikuwa nasikia, wacha tu. The cold chill down my spine, ilikuwa inafanya natetemeka tu. 


If Uber was there, 

hiyo siku singepanda mat. 


Ladies and gentlemen that was the making of a monster. Hadijah mahali uko shindweee. These moments are those that break a man into unrepairable versions of themselves. Thank God for phones, smart phones in particular. Nikifiria what people do for and when they are in love, naskia kucheka. 


Jamani nimeteseka hii Nairobi. Wacha nimalizie hapo, naskia ni kama machos itatoka yenyewe, at anytime. 

Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2