Simiyu 2
It was late in the evening. The sun has set couple of hours ago, and the sky was dark. You know it's one of the nights the moon is afraid to show it's face, maybe it has glanced upon the future, and seen it can't bear to witness what is about to unravel.
Simiyu's wife Lucy, is lying prostrate on the ground while Simiyu, her husband standing in front of her. Lucy is crying, you would to if you would be in her shoes, while Simiyu's face remains expressionless, devoid of emotion.
Let's rewind it
just a bit
so you can all connect the dots.
Part one
Jioni ikafika, siku haikuwa na kasheshe ama ngori mingi. After kumalizia shughuli kadhaa, nikavutia Simiyu nijue anatokea saa ngapi ndio tuongee, nijue ni ngori gani ilinifanya anivutie at the break of dawn. Venye nilivutia Simiyu, nikimsho tupatane pahali kwa wazee tukunywe kikombe, perhaps ya supu.
Simiyu akanisho Zi, nivuke kwake, hapa sasa nikaanza kutense mambo haiko fiti. Mimi huyo, nimevuka kwa Simiyu, nikapata hata inakaa ndio ameingia few minutes before. Tumetulia tu hivi, nangojea Simiyu abonge, haongei, nashangaa rada?
Ku lighten the mood nikauliza Simiyu ka alishikanisha mwili ya mtu na ukuta ndio ametense hivyo, nikasikia amecheka, nikajua baas, utleast we are getting somewhere. In as much nilimake hio comment jokingly, hio comment ilikuwa ina hold weight ju Simiyu alikuwa weeh, what did you all use to write in Inshas, Jitu la Mirada minne. Venye alinyamaza tena, nikaamua kurusha ka joke ingine kwa mix, msee aanze kuongea.
“Simiyu,
kwani bibi alichukua pesa yako yote,
akaenda nayo chama?”
Venye niliona hio sura ya Simiyu imebadilika, na veins imeanza kutoka nikajua mbona watu husema kifo cha mende. Umewahi kuwa tu place, it's all sunny, then ghafla bin vuu kunaanza kuwa dark at once, mawingu, unaona hii ikijaribu kunyesha, Elnino!
Simiyu akaamua ka mbaya mbaya, akaamua kunichapia nini mbaya.
“Jana nikikam,
nilikuwa nimechoka mbaya sana,
nilikuja nikakula na kuenda kulala straight.
Asubuhi nimeamsha bibi,
morning glory itambe
Kuenda kumpindua, kazi ianze,
eeei G yaliyonipata!”
Mimi niko hapo listening attentively, being a supportive G, and most importantly trying not to laugh at all. So namuuliza ni nini hio ilimpata ikamgonga ka steam ya ugali. Na hapo ndio story ilichacha.
“Uvundo ilinipiga,
nilijipata tu kwa floor,
saa hio bibi ananiuliza,
babe ni nini mbaya?
Hata sikumjibu
niliamka nikiwa nimeenda sitting room.”
Nataka kumuuliza nini ilikuwa ime cause hio uvundo alinusa, but maswali zingine ni explosive manze, naweza uliza nijistukie nimewahiwa heady clean, nizime siku tatu. Nikitafuta njia ya Simiyu kuendelea na story, simu yake inalia, anaichukua simu yake shingo upande. He accidentally puts the phone on speaker, so I can actually hear Lucy's replies.
“Lucy nilikuambia usinipigie!”
“Baby si nilikuambia
ni Chapo beans nilikula jana job
zilinimess tumbo.”
“Chapo beans,
zikafanya ukunie kwa kitanda?”
“Baby it was a mistake.”
“Mistake ni wewe,
nilikuambia mambo ni matatu
nikurudishe kwenu,
nichukue ng'ombe nilileta,
nilete bibi mwingine.”
Fuck you man. In the most un nice ways!! 😂😂
ReplyDeleteMbona umetupea story nusu? I want to understand what happened with Lucy. Mahari zilichukuliwa? How dare she? 😂😂
Leta part ingine!!
Simiyu aseme tu ukweli. Alijaribu anal na mtoto wa wenyewe 😂
ReplyDelete