Rhumba ya Jirani.

Image
  It's 11:18, I'm yet to sleep.  Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa.  But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices,  Chini ya maji, si ni machizi Twachunguzana kipolisi And your body is a movie And I hope you feel the same But you're insecure (eeeeeh) Oh my you're insecure (aaaaaah) Oh my you're insecure (eeeeeh) And I'm insecure (aaaaaah) Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it!  Si nivuke kwa jirani?  Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa...

Shwaaaa!

            The sun was freaking hot and the sun had no issues baking y'all, ndio at least muive. I remember November December 2018 vividly, like it was yesterday. It was so freaking hot that ungejimwagilia maji kwa mgongo ingelia kama venye maji kwa sufuria moto hulia, shwaaaaa. 


Anyway, I know the devil is next to you whispering in a smooth convincing tone,


“enda swimming sahii, 

kuna joto”


Before you go, chill and lemme tell you about my first ever swimming expedition. Growing up, I was learning about useless stuff like insect anatomy and how the international space station works. So I missed out on childhood happiness like duff mpararo (I have only one experience) and bike races. 


Back then I was 20 and somewhere in Machakos county with my gang, a place where there is a wide river that crosses our location. My whole gang is aware that I do not know the skill of fish. After all, fish do not know how to walk 


(nisiskie mtu akitaja villagers wa SpongeBob). 


So they decide like good pals wacha wanipeleke niongeze kwa CV ya dating, the swimming part. It was early in the year, kama tu sahii. On that day, tulibeba shorts and went to the bank. River bank. Hio ingine tutaenda soon, mambo iki allign, tuskate na bank teller. Those who have lived kwa kichaka and learnt the skill in the river hurriedly jumped in. Wale wa pool wakakaa na mimi hapo, wetting their feet, waki gain confidence. 


Mimi niko hapo tu nikatulia nikitafta courage pia mimi. Ghafla bin vu, nikaskia niko ndani ya maji. Kumbe my friend, Sam, alinipush ndani, akisema there's no way umekuja supermarket kuangalia watu waki shop. Mimi huyo nimestuka, nashangaa mbona environment ni wet and wavy. 


Kabla nipate bearing hivi nmekunywa 23 liters kama guzzler. Wale walikua ndani ya maji wanacheka. Kuangalia wale wako nje observers wanakufa kicheko. Niko hapo ndani, fighting invisible demons waniachie maisha yangu bana. Niko kwa shimo bana. I can't seem to reach the edges of the hole and I can't step on the floor. 


Niliona white. Kiasi kiasi hivi naona my great great grandfather, Gikonyo, mwenye alipigana kwa second world war, akiniambia come my son come, kando yake ni Abraham. Peter yuko pale, amesimama kwa the pearly gates, ameanza kuchagua funguo, kwa zake kubwa kubwa. 


Kiasi kiasi naskia another voice, gentle and calm ikisema 


“It's not yet his time, let him go back.”




Nikaona jua. Kumbe nimekunywa maji yote, karibu mto ikauke.

Comments

  1. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    ReplyDelete
  2. Kitu naweza kwambia ni eti, pia sisi watu wa SpongeBob, tunajua Duff mpararoπŸ˜„

    ReplyDelete
  3. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2