Rhumba ya Jirani.

 It's 11:18, I'm yet to sleep. 


Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa. 


But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices, 


Chini ya maji, si ni machizi

Twachunguzana kipolisi

And your body is a movie

And I hope you feel the same

But you're insecure (eeeeeh)

Oh my you're insecure (aaaaaah)

Oh my you're insecure (eeeeeh)

And I'm insecure (aaaaaah)




Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it! 


Si nivuke kwa jirani? 


Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa for a while, deliberating whether or not to go, asking myself questions like huwa unadandia aje houseparty? 


I continued weighing the pros and cons, naona hii si fiti mimi nikienda. Wacha ma young bloods wajibambe, it's their time, alafu can you imagine venye ingekaa awkward? Hii ya Jirani, inakaa house party ya ma rich kids. Alafu house party on a Wednesday? Enyewe we crawled so they can walk. Moments ka hizi ndio zinanishow nimekula salt si mchezo alafu zinanikumbusha a while back in my prime prime, venye tulitwanga life ya house parties na sherehe. 


Venye hio time tulikuwa tunaona life is simple, umesip something something, umemarinate someone someone, you have eaten( hata haujui ulikula aje na saa ngapi), caught a whine if you're lucky and smooth like your favorite storyteller, then later uko incognito mode with someone someone . Can you see how nice it is to be young? 


Hehe, anyway where was I? 


Ooh yes, wacha nione kama ule mwenye tuko talking stage nimsho akuje pahali niko tulaunch, si unajua party of two, nini nini? As I'm heading to take a nights rest, najua kitu ya mwisho nitasikia ni hio Amapiano wameweka. 

Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2