P Shawries

 

Mchele…
Eyy..,

This word bana iko na plenty of stories. For those hawajaexperience, I’m neither advertising rice utleast not at moment, nor am I building the name of the West Ham player, what’s his name, Rice. 

Nilikuwa nasikia story ka venye vajo husikia story ya watu wamewai have sex, but unlike vajo, mimi sikucrave opportunity ihappen ni experience. Mimi nikidhani hizo zote ni story za jaba bana. Hadi madame kadhaa wananichapia bana hadi wao wamewahi wekewa mcheleπŸ˜… Hio lazima nichunguze.

Nilikuwa club nimeenda kuchapa mbili for the road alafu niishie mtaani hapo 2/3. Niko kwa counter, story kidogo kidogo  na bartender then kuwa in my thoughts kufikiria a few things. 

Beer ni baridi, naiteremsha tu mdogo mdogo bila haraka. Music ina play kwa background, na turn na survey the room ndio na notice something. Kuna damsel ananicheckout mbaya sana hadi hafichi. Akacheki nimemcheki akinicheki, akawink seductively nikam-wave over. 

Alikuwa mchocolate, petite with nice shapely legs, tirries on point zimesimama ka venye Mr Abdalla atakuwa amesimama an hour or two to come akishughulikia someone’s daughter. 

Alikuwa na well done dreads, nikajua baas hizi ni za kuchange gear undercover between the sheets if you catch my drift. πŸ˜‰  Venye ali walk upto where I was, ndio nikaona maybe inspiration ya T-pain kwa ma ngoma zake hutoka kwa scenario ka hizi. Akafika stretched her hand in greeting and said;

“Hi..”

Class niliapproachiwa nayo hadi mimi nikanice. Nikampea smile ingine, ikamfanya her knees zikuwe weak ju the next thing nilisikia ni;

“Do you mind,”

“if I sit here, next to you?”

Most of you kwa hii scenario mngesema yes mbio sana bila hesitation. But mimi kulikuwa na kitu inanihold back. Sijui ni ancestors walikuwa wananichapia something but nikama walikuwa mavitu or something ju walikuwa incoherent sikuwasikia vizuri. 

I looked her straight into her eyes and asked;

“Why..?”

Dame akatilt head yake forward akacheka then akanijibu;

“Ju una ooze vibe ingine fresh.”

“alafu,”

“si wewe ni mcocky”

“Naitwa Fibi btw..”

Kusikia cocky nikamuuliza nakaa mluhya nini, akacheka akisema aki wewe, nikajua hapa nimeruka group stages na round of 16 nikaenda straight semi finals bana na hivyo ndio conversation ikaanza. Dame alikuwa ana bambika na stories zangu mbaya sana kiasi kiasi tukasikia kelele nyuma yetu.

Kupinduka kumbe ni madem watatu kwa corner wanasherehekea sijui nini. Mimi kuangalia mbele ju sikutaka kisirani hiyo usiku, huyo dame tulikuwa na yeye akawhisper in my ear,

“Si tudandie wale madem?”

“Turorie nao!”

Mimi niko zile za kwani ni kesho, twende! Mimi nafurahia tu ju the night is turning out better than venye nilifikiria inaenda. Tukafika kwa hio meza ya hao madem, story moja mbili tatu, pap! 

Tuko pamoja nao kwa hio meza. Mimi nikasahau, nikaweka beer yangu kwa meza na huwa siachili beer. Ever, since nianze kuenda sherehe. 

Vituko zilikuwa zinaendelea kwa hio meza, ogopa. 

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nikajua hawa nikivuka nao sitawahi kulana tena ju rungu itakuwa imebeat. Nikasikia kuenda loo short call, ni ka ile pombe nilikuwa nimekunywa earlier imegeuka mkojo. 

Kuenda kutoka nikakutana na Fibi kwa entrance, akanipush ndani ya washrooms, after kuvalisha rungu helmet nikamchoresha saba ka quickie alafu tukarudi kwa ile meza tulikuwa.

Mimi nikamaliza beer yangu na Fibi akapiga flash ile drink ilikuwa kwa glass yake. Kuenda kuamka nikasikia kichwa imekuwa mzito kabsaa nikaenda kuinua mkono niite waiter aniletee maji but wapi nikakula blackout. 

Nilijistukia the following day usiku ikienda kuingia kwa ditch na Fibi. Nilikuwa na boxer alafu kichwa ina gonga ka venye kamagera hugonga mat wakiita watu. Nikajaribu ku recollect events za jana but part ya mwisho nakumbuka ni nikujaribu kuinua mkono niitishe maji after hapo sina clue. 

Kumbe!
Jana basmati babies walinipata vizuri
Nilitulia hapo kwa ditch nikajicheka ju ya venye nilichezwa

Comments

  1. πŸ˜‚πŸ˜‚enyewe one for the road

    ReplyDelete
  2. Waah I need the whole story it is dope I love your stories but keep me hanging because the other part is not finished thank you 😊

    ReplyDelete
  3. hawa basmati babes walikumalisaa mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚

    ReplyDelete
  4. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hao madem walikucheza viproper.

    ReplyDelete
  5. I have never read something so funny yet so serious. Nice 🀣

    ReplyDelete
  6. Ati dreads ni za kufanya nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    ReplyDelete
  7. Ilikua nichekee apo mwisho but wueh, pia me niko na roho bana nakurumia pole kwa yaliyo ku waliya πŸ˜‚

    ReplyDelete
  8. Quickie kwa washrooms..hope ulikuwa na CD . . puga!πŸ˜‚πŸ˜‚ Haukushika brakes na dredi tena.. basmati babesπŸ”₯πŸ˜‚..

    ReplyDelete
  9. Wuehhhh🀣🀣🀣🀣🀣quite a good short read. Dope πŸ‘

    ReplyDelete
  10. just quikies everywhere����������

    ReplyDelete
  11. 😹😹😹 wueeee mkuuu hizi riba JoπŸ‘ŒπŸ”₯πŸ”₯

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Baddies in maandamano

Shukisha!

DUF MPARARO.