Cloud 9

Nilikuwa na flashback venye nilijipata kwa hii situation, weeee hata sijui. 

Ngoja.., inanirudia pole pole. Ilikuwa weekend na niko kejani, nilikuwa nimejiambia naanza detox ju weeh mwili ingebeat ningeendelea na ile speed ya vinywaji na herbs nilikuwa naipeleka.

Series pale kurelax kanyama ka fifty yenye nilichapia msee wa butcher ni ya kutega panya. 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 

Angejua tu hio panya iko imagined. Plus sembe size yake. Furahia maisha buana. Usiku yangu iko set. Nilikuwa nataka kuweka simu yangu flight mode but kuna transaction ilikuwa ikam through, Safaricom wakue zile za.. 

sasawa kiongoz.

Phone ikalia.. Una dance kidogo simu ikiitana ju niko na ringtone ingine dope. Time umetulia unafanya kitu ndio huwa unatafutwa. Lakini mimi huwa silengi phone call.

Utajuaje, naweza kuwa naitwa tender, deal ya dooh ama yakufanya someone’s daughter a curl her toes akisikia fiti. πŸ˜‰ 

Nikareceive call.. Alaa.. kumbe ni mali ingine safi hujiita Stephanie.

“Souley uko”

“niko kwangu ”

“Uko solo..?”

“Yeah”

“Wacha nakam..”

Dame akapull up na dress looking all yummy. Unaona venye uso yako hukuwa ukikatiwa nyama choma ama mtura na kachumbari na kapilipili kwa umbali? 

Baas unaona venye expression yangu ilikuwa vile nilimcheki. Nikamkaribisha ndani.. Najua kutakuwa na uhondo na wamama wa ploti but mimi ni ka Okwonko, siskii.

Talks hapa na pale akanisho anataka tufike bash fulani kwa hizi ma gated community. Alitaka nivuke na yeye ju ya security. Nakaa Jason Statham kwani.. 

Oooh.. ama ni ju ya siku fulani tulikuwa sherehe na yeye, ndume fulani ikanispank matako? Na mimi nikahakikisha chupa ya tusker na ngumi kadhaa imeconnect na skull yake sawa sawa.

Kuwa mtu social inasaidia sana. Mchezo ya paka na panya ikiisha kati yako na caretaker uko na place ya kudoze ukifigure out what’s next. 

Ukilala ndani hautakuwa guest wa serikali for long. Alaa..πŸ˜‚ tumekula diversion kwa hii story yetu tebu turudi sasa.

Dame aliniconvince niende na yeye. Sisi hao hadi pahali sherehe ilikuwa. Unaona venye Hamilton yuko kwa F1 venye ni mngori, hivyo ndio msee wangu wa nduthi, Babu, yuko na nduthi.

Nilikuwa nasema ati nitakuwa detox siguzi kitu but hizo ni ka resolutions zako za kila new year. 

πŸ˜‚πŸ˜‚ 

Ikakuwa mingling, kunywa, kula kakitu na games kibao.

Bash ikaendelea fiti but nilikuwa anxious mbaya. History yangu na ma bash haijakuwa fiti sana. It’s either vita, ama  karao kutokea ghafla bin vuu ama both. Steph akanotice then she whispered in my ear

“nakuletea kitu ya kutoa tension”


Comments

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Baddies in maandamano

Liar!

Aligongewa na si mlango.