Rhumba ya Jirani.

Image
  It's 11:18, I'm yet to sleep.  Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa.  But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices,  Chini ya maji, si ni machizi Twachunguzana kipolisi And your body is a movie And I hope you feel the same But you're insecure (eeeeeh) Oh my you're insecure (aaaaaah) Oh my you're insecure (eeeeeh) And I'm insecure (aaaaaah) Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it!  Si nivuke kwa jirani?  Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa...

Simiyu.


Eeeeeeeei, umewahi kuwa kwa situation serious, but unacheka tu ju situation iko na humor kiplan? Hio ndio situation nilikuwa, mbavu zikiwa zinauma ju ya kucheka. Alafu kitu inaifanya funny zaidi, ni huyu msee hacheki akikusho story. Jameni, huyu kwani alikuwa anataka niende kwa baba ju kidogo nilikuwa na wheeze ju ya kusahau kupumua?

Hold up, 

wacha tuanze story vizuri sasa.

Nilikuwa nimechill pale mtaani, siku ilikuwa refu ajab, job plus kudeal na corporate office politics ina drain msee kuliko hii serikali ya zakayo. Anyway, nimechill tu kwa kiti, najaribu kushikilia my virtual social life na kuchat pale X aka Twitter na green app. The next thing nastukia ni simu inalia na iko kwa floor. Najua tu phone ilislip kwa mkono venye nilianza kudoze.

Nachukua phone kucheki, ni nani huyu ananivutia simu saa kumi na moja ya asubuhi ikiwa imebakisha dakika ishirini. Kuangalia tu simu hivi, kumbe ni arif wangu fulani anaitwa Simiyu ananivutia. Nashangaa ni nini mbaya inaweza kuwa ime happen ju yeye ni ngumu sana kunivutia hii masaa. Na pick call before ikatike, ndio niskie anasema aje. 

Kupick call tu hivi naskia tu ananung’unika; 

“Eeeei Souley”

“G, ”

“kimeniramba…”



Nashangaa ni nini imepata my G Simiyu, ju si ule msee wa ku complain ovyo ovyo. Namwambia anichapie nini mbaya, imemfanya alalamike hivyo. Naskia tu Simiyu ana breath in and out alafu akatulia, akaniuliza kama tunaweza kutana jioni tuongee mawili matatu, nikasema sawa akiwa amekata simu.

Haidhuru, nikaamua kuenda kwa bed sasa niendelee na usingizi, hata sikuwa nimejiwekelea sana, ndio hio alarm imelia. Mambo gani hayaa! Niliamka tu ndio nipige shughuli kadhaa nione kama nitatoka kwa block. Kuanza ni kustretch stretch mwili kidogo, ju nilikuwa nimelala nikiwa nimejikunja ka nyoka kwa kiti, alafu nikaingia ku shower.

Najua mnategea niseme next venye nilihave a sumptuous, mouth watering breakfast, after taking a shower, but tuko reality si kwa hizo compositions we used to write back in the day when money was money. Mimi huyo, nimepiga luku, but juu yake nimevaa sweater na jacket, nikitoka into the streets, in short mimi na mtu wa nduthi hakuna difference. 

Nikaamua nianze siku yangu nipige shughuli kadhaa kama venye wengine wenu hupiga sherehe weekend ama public holiday ikifika, alafu jioni tupatane na Simiyu anielezee shida ilikuwa gani, tukiwa tumeketi pahali kama wazee.


Comments

  1. Keep it upπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

    ReplyDelete
  2. Riba imeweza lakini ni short ajab!

    ReplyDelete
  3. Weh wacha reality hukupiga difference ya watu wa boda na wewe iko sababu yeye aliamuka mapema ako job πŸ˜‚ I love your stories they keep me updated and lively when I am bored

    ReplyDelete
  4. Sasa hatutajuako kile mlinongonezeana na simiyu🀣🀣🀣🀣🀣

    ReplyDelete
  5. ℓσя∂ Ρ΅ΞΉΠΈΠΈAugust 2, 2023 at 11:56 AM

    Talking on behalf of Cassanova team nasty,. where tf is simiyu,..he better somewhere hitting on chiqπŸ˜…πŸ’¦

    ReplyDelete
  6. Keep it up πŸ’― Tunataka kujua rada ya simiyu πŸ˜‚

    ReplyDelete

Post a Comment

Is a pleasure to keep you as my reader entertained. Peace✌️

Popular posts from this blog

Death at a funeral, the interrogation.

Cloud 9 , what's next?

Back to the basics.

Miss Anonymous 2