Posts

Rhumba ya Jirani.

Image
  It's 11:18, I'm yet to sleep.  Earlier, hapo 6 or 7 pm, jirani karibu animalize na Dojo Maber, playing it over and over again, karibu I head over there, knock on their door, and tell them, hata kama ni kupenda wimbo aje, imetosha sasa.  But ni kama alijua or alisense before niende nimbishie, akachange playlist, akaamua sasa ni ngoma za Sauti Sol back to back. As I'm writing this, ni Insecure by Sauti Sol playing, ma baddies wakising along this part at the top of their voices,  Chini ya maji, si ni machizi Twachunguzana kipolisi And your body is a movie And I hope you feel the same But you're insecure (eeeeeh) Oh my you're insecure (aaaaaah) Oh my you're insecure (eeeeeh) And I'm insecure (aaaaaah) Before like an hour before, nilikuwa niko 50/50, scratch that, nilikuwa nimebakisha kidogo ni gate crush, ju naskia masauti nyororo, niko zile za damn it!  Si nivuke kwa jirani?  Kumbe this is how Fomo feels like? Such a nasty, nasty feeling! Inafanya hadi nakaa...

Riswaaa!

Image
  It was a polite time, and I was having this conversation, with one of my top Gs, Tommie. Not to gas him up or anything, but allow me to be Safaricom just this once, you know, to give credit where its due.  Tommie, he is one of the most creative and crazy ninjas I know. We could be having a conversation and the next second, would find us cracking up, like we lost our own fucking damn minds! Anyway, back to what I was saying, so I was having a conversation after he let me have a peep at a project he was working on. I haven’t been mesmerized by something like I was when I explored his project. To say I was impressed would be an understatement, I was completely blown away. I asked him a question, thousands of you ask me every time something fresh and amazing drops on Letstoriesunfold, “Unapata inspiration wapi?” He hit me with, “ Unajua hii conversation itabore, nikikuambia.” So I let it slide to move forward with the conversation. We talked about a few more things, then talked ...

Moni

Image
Wiki ilikuwa imenitoa mbio mbaya aje, ungedhani design ya hawker na kanjo wa Jiji. Venye ililand Friday jioni, nikajua baaas, naweza pumua kidogo. Nikaingia kwa hao, nikachamgamkia ka shower pale, niskie very nice, clean and fresh. Alafu kutayarisha kitu ya kula pale ju tumbo ilikuwa inaguruma ka lorry ya FH, ikipanda mlima ikiwa imejaa mchanga. Food ikaiva tu hivi na nikajiserve. Design storyteller wenu yuko very clean na ameng’ara, alafu yuko tayari kuchangamkia plate ya food, ogopa. Hii ndio time huwa hautaki wageni kabsaa but hii life bana, no balance, time hautaki kitu ndio inakuja full force. Kabla hata sijauma kijiko hata moja ya food nikasikia knock kwa mlango. Najaribu kuona ka ni next door, but venye knock naisikia haiwezi kuwa kwa neiba. Najaribu kukumbuka ka niliset appointment ya playoffs yeyote leo, naona pia zii. Nikataka kulenga kufungua kabsaa. Design najikaza kuoneshana siko, usitake jua but knocking ikakuwa persistent sana hadi imeanza kuniudhi. Najiuliza tu kim...

Back to the basics.

Image
Nimeona picture kwa meme fulani, ikanipeleka tour down memory lane. Many moons ago, nikiwa primary. Nikitaja ilikuwa how many years ago, mtaniona ka mmoja wa wale wahenga mlikuwa mnaandika kwa kwa insha, ati, wahenga hawakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliponena... 😅😅😅 Kulikuwa na hii stuff ilikuwa primary, ndio ukuwe unaongea kizungu, ulikuwa unakuwa punished psychologically ukiongea na mother tongue, kiswahili or the language of the streets, sheng. Except siku moja yenye mngekuwa exempted kuongea whichever language you fancy. Mental punishment depended on which time era you were in. For yours truly, ilikuwa kuvaa bling bling ya mfupa ingine kubwa. Yours truly, hajaanza kupiga story sahii, like B.I.G. nilikuwa notorious but upande wa kuongea. Hakuna siku nikiwahi kosa kwa list ya noisemakers, na siku sikuwa nimeongea labda nilikuwa mgonjwa. Most people walikuwa wana detest kuvaa hio bling bling, ju ya aibu ilikuwa associated with it, so msee alikuwa anakuwekea mtego, uongee tu l...

Nana.

Image
 By the time you will be reading this, valentine's could be in the distant past. That day could ignite so many possibilities, a new born nine months later, a heartbreak, death, sadness, happiness a new discovery or confirmation. If I told you I had plans for valentine's I would be lying. A couple of daughters of Eve had tried to find out my plans for that day by asking slyly by making comments like this, and more “Najua tu..” “huyo mamaa wako, ” “si umempangia mazuri” I kept my face unreadable like a guy who was playing poker and they were left in the mystery just like it's supposed to be. Monday didn't start so well but the ending was better than I hoped. I received a connection to go discuss how we may go about hyping and promoting a certain brand.  I'm excited, because I know this gig will connect to another and another and it will be this wonderful experience of enjoying the fruits of using the road not taken. Early the next day, which happens to be valentine...