Sina...
Imekuwa long tangu nichonge story ka venye Michelangelo alikuwa anachonga vitu clean many centuries ago. Story ilikuwa iende live but draft ilikuwa kwa simu, na simu ilizama kwa maji ka Petero venye alijishuku ati ni yeye anatembea kwa maji. Fundi naye kumpelekea simu akakuwa kama ule jamaa wa promises bandia za in “6 months”. Fundi amekaa nayo almost three weeks, ananichocha daily ati anaunda, kumbe anani-enjoy tu, simu imemlemea na hataki kunichapia. Kuishi bila simu blunder, unasikia ni uko kwa kichaka ama ka wewe ni inmate. Nimefikiria venye shillingi itatoka nishike device ingine; itatoka ju fundi alishindwa kufufua simu hadi akili imetap out. Nikiscroll scroll YouTube nikiwa nimetulia after nimetoka kuchapiana na Boyz wangu Kimani ma one two one two, nimebump into this song called Wasted Story by Virusi Mbaya, sijui ni kama ni coincidence ama nini, but nimerelate nayo mbaya sana na kuna part moja imepenya “…Saka kila siku it's not enough..” “...Ma...