Back to the basics.
Nimeona picture kwa meme fulani, ikanipeleka tour down memory lane. Many moons ago, nikiwa primary. Nikitaja ilikuwa how many years ago, mtaniona ka mmoja wa wale wahenga mlikuwa mnaandika kwa kwa insha, ati, wahenga hawakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliponena... 😅😅😅 Kulikuwa na hii stuff ilikuwa primary, ndio ukuwe unaongea kizungu, ulikuwa unakuwa punished psychologically ukiongea na mother tongue, kiswahili or the language of the streets, sheng. Except siku moja yenye mngekuwa exempted kuongea whichever language you fancy. Mental punishment depended on which time era you were in. For yours truly, ilikuwa kuvaa bling bling ya mfupa ingine kubwa. Yours truly, hajaanza kupiga story sahii, like B.I.G. nilikuwa notorious but upande wa kuongea. Hakuna siku nikiwahi kosa kwa list ya noisemakers, na siku sikuwa nimeongea labda nilikuwa mgonjwa. Most people walikuwa wana detest kuvaa hio bling bling, ju ya aibu ilikuwa associated with it, so msee alikuwa anakuwekea mtego, uongee tu l...