Posts

Showing posts from November, 2022

Miss Anonymous 2

Image
  Continued from here-->>  Miss Anonymous Ju ya kuwa street smart kiasi tu, niliweza kutoka kuwa mgeni wa serikali bila kesi kuwa ngori. Vile natoka though, weeeh! Nanuka, niko mchafu, usingizi, kitu nataka ni kufika tu kejani nioge, nipite kwa mathe nikule, nilale. Nafika hivi ploti, watoto wa jirani wakinicheki wanahepa tu wakilia, kwani nakaa mnyama nini? Wamama wa ploti, najua wameshapata story mpya na mimi, but haidhuru, watabonga kisha watalala. Venye nimeshiba, napiga shower nitoe stench na misuli inyooke kidogo kisha nalala. Nastukia mlango inabishwa, kuangalia saa ni saa kumi na moja jioni. Weeh, nimelala kama maiti za pale Chiromo.😅 Kumbe ni arif yangu Timo, na venye nilikuwa nimejitayarisha na maneno nikidhani ni landlord. 😅😅 Namfungulia mlango aingie, but anaingia akiniuliza nimepotelea wapi, ati amekuwa akinitafuta siku kadhaa.  Nikienda kuona venye nitamjibu, ghafla bin vuu, simu inalia. Kuenda kucheki ni nani anapiga, nastukia ni ule Miss Anonymous...

Miss Anonymous.

Image
                       Nikiwasho pahali nilipatana na huyu hamtaamini, the same way sikuamini story alikuwa ananichapia, karibu nimsho heri angekuja na taxin tuchane akinichapia hizo story zake. Alikuwa amekuja kunitembelea nikiwa ndani,  behind bars for a few hours ndio anichapie story nitawachapia in a few.  Ilikuwa a good day, nilikuwa tu nimetoka site kazi, foreman akiwa amenikanja  zangu after koroga kuisha na sijainama lunch hio siku. Nimeingia pale kejani, nikapiga shower, baadaye ka luku kidogo kutokea streets kutafuta rada ya kesho.  Naenda kuvuka hivi barabara, nduthi inapita shwaa! Karibu ipite na mimi. Nikienda kucheki rada ka ni safi kwa barabara ndio nivuke, nacheki someone's daughter ameivaa! Macho zetu na someone's daughter zikakutana, mimi huyo, nimepiga wink, akasmile,  green light ukipewa, unaenda huendi? Confidence iko on, full swing, nikaenda nikajitambulisha, nikamuuliza jina but ...