Posts

Showing posts from February, 2023

Mapenzi crazy!

Image
By the way, nishawahi pendwa na wazimu wasee . Not toxic like how some of your partners in some of your relationships are, just somebody's daughter who was mentally ill. Tulieni niwapee story how it all went down. I was coming from Murang'a , nilikuwa nimetoka huko kupiga shughuli mbili tatu, as you know kwa gari kuna wale watu hubebwa mid journey, so sisi hao, tuko Kenol , gari imesimama watu kadhaa wakashuka, conductor yuko nje anaita watu wengine waiingie kwa gari to fill the empty seats.  I have my awesome earphones on, nasikia kuna fracas outside but I mind my shit so I ignore it, ju the last time niliona mtu ameleta kiherehere kwa shughuli haikuwa yake, alistukia amepigwa Kofi , mate ikatoka na curve kama shot ya Messi in his prime. Suddenly, I look up, and a fine gal catches the edge of my sight, eye contact kiasi between me and her and she smiles.  Damn a fine gal like this one? Thank you God! I remove my earphones so I can see her well. I songa songa as she comes an...

Eeeeeei

Image
 Kuna time niliteka dame kumbe yeye hukunia kwa kitanda.  😅😅😅 Wacha niwachapie story. Tulikuwa tumeenda hizi hike, ile yenye mnashikana group ka ya watu 20 mnaamua mwende mnyooshe mguu, mkule nyama na ka road trip itambe. Hio siku tumeshikana different faces, madem ma chali, mix iko fiti, hakuna mtu yuko na sura personal and the vibe is just right. Hio siku tuko na gari mbili a Nissan matatu, tumebeba food na drinks, na first aid kit incase msee alemewe. Sisi hao on our way hadi place ya hike kujibamba. Kwa njia ni ile ku socialize, story hapa na pale, kuangalia ni nani atakuwa by your side, Incase chance ya quickie ijitokeze mkiwa kwa hike. Tukafika place ya hike, tukapewa guide mwingine hakuwa mtiaji so tuliweza kusikizia herb na some liquor during the hike. Tuna have a great time, niko kwa company ya madame wawili, watu wako kwa groups alafu kuna wale wawili hukwamilia guide ka kupe. Tukiwa kwa hike, tukapata chuom yenye ilikuwa ina branch kwa ki area ya campsite, tukase...

Hold up, the confrontation.

Image
On every step you take, you must think of and take into account the potential risks, if the potential risks are worth it, the benefits and the negatives. I thought hard and long about how I’m going to handle the situation, kind of reminded me of the Jesma examination series.  The first thing that I sorted out was the location of where I’m going to congregate and meet all the ladies who were throwing accusations at me.  This was to be somewhere that was public, yet provided decent privacy in order clear any silly thoughts of any of them thinking that what they had accused me had any weight at all.  Two, timing of the meetup, it was to be done as soon as possible if I took too long, it would seem like I was sanitizing the accusations. I needed witnesses around me, there could be a likelihood of someone crying wolf and sending me to the ghoul where I would have to send someone to the depths of hell when he confuses me with the opposite gender and  attempts to try work o...