Cloud 9
Nilikuwa na flashback venye nilijipata kwa hii situation, weeee hata sijui. Ngoja.., inanirudia pole pole. Ilikuwa weekend na niko kejani, nilikuwa nimejiambia naanza detox ju weeh mwili ingebeat ningeendelea na ile speed ya vinywaji na herbs nilikuwa naipeleka. Series pale kurelax kanyama ka fifty yenye nilichapia msee wa butcher ni ya kutega panya. 😂😂😂 Angejua tu hio panya iko imagined. Plus sembe size yake. Furahia maisha buana. Usiku yangu iko set. Nilikuwa nataka kuweka simu yangu flight mode but kuna transaction ilikuwa ikam through, Safaricom wakue zile za.. sasawa kiongoz. Phone ikalia.. Una dance kidogo simu ikiitana ju niko na ringtone ingine dope. Time umetulia unafanya kitu ndio huwa unatafutwa. Lakini mimi huwa silengi phone call. Utajuaje, naweza kuwa naitwa tender, deal ya dooh ama yakufanya someone’s daughter a curl her toes akisikia fiti. 😉 Nikareceive call.. Alaa.. kumbe ni mali ingine safi hujiita Stephanie. “Souley uko” “niko kwangu...