Posts

Odd hours.

Image
             It started subtly but lately, I have been finding myself being suddenly awake at strange hours. Sometimes it may be 1:17 am, 2:43 a.m, 3:11 a.m, or even 3:57 a.m, nothing consistent.   Not because of bad dreams or the usual midnight thirst, sometimes ni ile kuamka kuenda washroom to relieve yourself, ama venye msee huturn ndio akuwe more comfortable, na feel niko observed na presence of something or someone, ilikuwa ina feel something ancient and patient had been watching me.    At first, it was innocent. I had woken up to go pee, then I felt it. Then came the second, third, and fourth night, unajipata you are awake, funny thing hata hauamki to go pee. Uko hapo kwa kitanda staring at darkness, unashangaa rada ni gani, mbona usingizi imepotea impromptu, then you feel that same presence wrap itself around the air like fog, invisible, but undeniable.    Unajaribu kufukuza uwoga, but after sometime inabidi umewasha lig...

Handy man

Image
  Lemme tell y'all something I discovered, fixing shit unlocks a good feeling in you.  A little backstory, niko kejani nimechill napanga venye siku ya kesho itakuwa. It's around 9/10 pm hapo, niko ndani ya duvet, hii baridi ni mbaya, but I'm kind of happy one ni ju Manchester imenyoroshwa, na Kenya imeweza kuingia quarter finals za Chan. Niko easy, scrolling through, checking emails, sending CVs, na proposals hapa na pale, yenye itanasa ya kwanza. Hii story ya kutafuta shillingi, eeeei inatumaliza! Nimejiambia, wacha ni scroll simu kidogo, kabla usingizi ikuje, nilale kidogo, before usingizi ipotee hapo saa name, tisa, ju ya mawazo ya venye maisha yangu imestagnate, inakuja kukuja. Kiasi kiasi, nastukia niko kwa giza!  Niko zile za Kplc hao, wameanua stima. Naamua nitoke kwa bed, niende ni connect simu kwa charger, ndio ile time stima itarudi, nitaamka asubuhi nipate simu ikiwa full charge. Nikiplug simu hivi, naona, charging. Nikajijazia kumbe ni bulb imeungua. Kuchungul...

Waswa

Image
 In my days of service I had this friend called Waswa. He was way older than me, like 3 years older but tulikua tume enlist na yeye and we found ourselves sharing a barrack cube. Tulikua 4 in 1 cube. One night while we were off duty, he told me why he joined the military. Waswa was in JKUAT, Juja campus, and he was having some sort of entanglement with his schoolmate, a pretty petite lass called Syombua.  Our boy Waswa was the one visiting her because he was in a shared hostel. Waswa’s pretty lass, Syombua, lived in Weiteithie, in a well furnished apartment. Their relationship was like 3 or 4 months old but Waswa had received all sorts of treatment. From slices to the other slices, I know you know, and if you don't, jokes on you.  Kijana in his mind assumed that the lady came from a seriously loaded family. Makosaa. Sasa one Friday Waswa as usual goes for a sleepover knowing atakula vizuri pande zote. They enjoy the night and netflix as usual until they heard, “Fungua hap...

Mapenzi crazy!

Image
By the way, nishawahi pendwa na wazimu wasee . Not toxic like how some of your partners in some of your relationships are, just somebody's daughter who was mentally ill. Tulieni niwapee story how it all went down. I was coming from Murang'a , nilikuwa nimetoka huko kupiga shughuli mbili tatu, as you know kwa gari kuna wale watu hubebwa mid journey, so sisi hao, tuko Kenol , gari imesimama watu kadhaa wakashuka, conductor yuko nje anaita watu wengine waiingie kwa gari to fill the empty seats.  I have my awesome earphones on, nasikia kuna fracas outside but I mind my shit so I ignore it, ju the last time niliona mtu ameleta kiherehere kwa shughuli haikuwa yake, alistukia amepigwa Kofi , mate ikatoka na curve kama shot ya Messi in his prime. Suddenly, I look up, and a fine gal catches the edge of my sight, eye contact kiasi between me and her and she smiles.  Damn a fine gal like this one? Thank you God! I remove my earphones so I can see her well. I songa songa as she comes an...